Nataka kumili bastola sheria zake zipoje kwa hapa Tanzania?

Kwa pesa na umaarufu nilio nao kuna umuhimu wa kumiliki bastora ili inisaidie kujilinda maana uwezo wa kuajili mabodigadi some time wanaweza kula rushwa waniuze bos wao wakuu naombeni mwenye kujua bei na zinakopatikana na sheria zake ?
Una nini cha kulinda lofa wewe hadi umiliki bastola?

Umejaa ulofa kuanzia kichwani hadi miguuni
 
Kwa pesa na umaarufu nilio nao kuna umuhimu wa kumiliki bastora ili inisaidie kujilinda maana uwezo wa kuajili mabodigadi sometime wanaweza kula rushwa waniuze Boss wao.

Wakuu naombeni mwenye kujua bei na zinakopatikana na sheria zake?
Take it
 
Back
Top Bottom