Kila la kheriKwa darasani kwa sasa ni ngumu kurudi labda naweza pata njia nyingine nzuri ya kufahamu hasa kusoma na kuongea.
Nataka kufanya hivo kwasababu zifuatazo
1. Napenda Sana kusoma na kuangalia habari za kimataifa.
2. Napenda kusikiliza miziki ya kingereza
3. Napenda kutazama movie za kingereza ambazo hazijatafsiriwa
4. Napenda tu kuijua hiyo lugha kwani nafikiria hapo baadae itakuwa na umuhimu kwangu kutokana na kazi yangu ya ufundi kwani muda mwingi huwa najifunza mtandaoni na masomo yote ni ya kingereza hivo video ndo marangingi zinanirahisishia
Mwisho karibia asilimia 90 hata kwenye visimbuzi chaneli ni zakingereza na habari nyingi ni za kimataifa ni za kingereza
Kama nitapata mwalimu pia nitashukuru.
Ila ajitolee ntamlipa kulingana na uwezo wanguView attachment 3208061
View attachment 3208065
Elimu yangu mm ni Kama jina langu tu hapo Ila Nina idea kidogo hivo naamini sitamsumbua mwalimu kiasi hicho atakayepatikana.
TENSES ndio shughuli.Kwa darasani kwa sasa ni ngumu kurudi labda naweza pata njia nyingine nzuri ya kufahamu hasa kusoma na kuongea.
Nataka kufanya hivo kwasababu zifuatazo
1. Napenda Sana kusoma na kuangalia habari za kimataifa.
2. Napenda kusikiliza miziki ya kingereza
3. Napenda kutazama movie za kingereza ambazo hazijatafsiriwa
4. Napenda tu kuijua hiyo lugha kwani nafikiria hapo baadae itakuwa na umuhimu kwangu kutokana na kazi yangu ya ufundi kwani muda mwingi huwa najifunza mtandaoni na masomo yote ni ya kingereza hivo video ndo marangingi zinanirahisishia
Mwisho karibia asilimia 90 hata kwenye visimbuzi chaneli ni zakingereza na habari nyingi ni za kimataifa ni za kingereza
Kama nitapata mwalimu pia nitashukuru.
Ila ajitolee ntamlipa kulingana na uwezo wanguView attachment 3208061
View attachment 3208065
Elimu yangu mm ni Kama jina langu tu hapo Ila Nina idea kidogo hivo naamini sitamsumbua mwalimu kiasi hicho atakayepatikana.
Nenda Uingereza au KanadaKwa darasani kwa sasa ni ngumu kurudi labda naweza pata njia nyingine nzuri ya kufahamu hasa kusoma na kuongea.
Nataka kufanya hivo kwasababu zifuatazo
1. Napenda Sana kusoma na kuangalia habari za kimataifa.
2. Napenda kusikiliza miziki ya kingereza
3. Napenda kutazama movie za kingereza ambazo hazijatafsiriwa
4. Napenda tu kuijua hiyo lugha kwani nafikiria hapo baadae itakuwa na umuhimu kwangu kutokana na kazi yangu ya ufundi kwani muda mwingi huwa najifunza mtandaoni na masomo yote ni ya kingereza hivo video ndo marangingi zinanirahisishia
Mwisho karibia asilimia 90 hata kwenye visimbuzi chaneli ni zakingereza na habari nyingi ni za kimataifa ni za kingereza
Kama nitapata mwalimu pia nitashukuru.
Ila ajitolee ntamlipa kulingana na uwezo wanguView attachment 3208061
View attachment 3208065
Elimu yangu mm ni Kama jina langu tu hapo Ila Nina idea kidogo hivo naamini sitamsumbua mwalimu kiasi hicho atakayepatikana.
Weka bidii kusoma vitabu vya kiingereza cha awali. Nunua vitabu hivyo na kamusi ya English to Kiswahili. Tafuta mwalimu wa lugha mtaani kwako akupe darasa angalau mara 3 kwa wiki.Kwa darasani kwa sasa ni ngumu kurudi labda naweza pata njia nyingine nzuri ya kufahamu hasa kusoma na kuongea.
Nataka kufanya hivo kwasababu zifuatazo
1. Napenda Sana kusoma na kuangalia habari za kimataifa.
2. Napenda kusikiliza miziki ya kingereza
3. Napenda kutazama movie za kingereza ambazo hazijatafsiriwa
4. Napenda tu kuijua hiyo lugha kwani nafikiria hapo baadae itakuwa na umuhimu kwangu kutokana na kazi yangu ya ufundi kwani muda mwingi huwa najifunza mtandaoni na masomo yote ni ya kingereza hivo video ndo marangingi zinanirahisishia
Mwisho karibia asilimia 90 hata kwenye visimbuzi chaneli ni zakingereza na habari nyingi ni za kimataifa ni za kingereza
Kama nitapata mwalimu pia nitashukuru.
Ila ajitolee ntamlipa kulingana na uwezo wanguView attachment 3208061
View attachment 3208065
Elimu yangu mm ni Kama jina langu tu hapo Ila Nina idea kidogo hivo naamini sitamsumbua mwalimu kiasi hicho atakayepatikana.
Akifanya kama Shilole hatojua kiingereza ataishia kuongea broken english kwa confidence tu, watu kama Shilole hukimbilia output(speaking,writing) kabla ya input(reading,listening) vya kutosha.Mek plaktiz and donti be shying.
Si umeona Shilole anabwatuka tu.
Angeenda kenya ila wakenya nao siku hz wamekuwa kama sisi wanaongea sana hii lugha yetu ya umasikinNjia rahisi ni kwenda kuishi Uingereza
Mbona wachina hawalii?Alienzisha hii kiswahili kama lugha ya taifa alikuwa ng'ombe na mbinafsi sana
Jibu zuri sana. Utumwa sio lazima ulimishwe mashamba ya mkonge. Hata kudhani kwamba lugha yako ni umaskini huo ni utumwa tosha. Jivunie cha kwako kwanza!Mbona wachina hawalii?
Wahindi je?
Wajapan?
Wakorea?
Warussi?
Jivunie cha kwako utasema labda hizo nlizotaja zina maendeleo ila hata wao hawajikuta wako hapo ila walipambana na walijali vya kwao.
Kabisa mkuu nawachukia sana watu wasiojivunia na kujali vya kwao.Jibu zuri sana. Utumwa sio lazima ulimishwe mashamba ya mkonge. Hata kudhani kwamba lugha yako ni umaskini huo ni utumwa tosha. Jivunie cha kwako kwanza!