LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 654
- 2,369
Kwa darasani kwa sasa ni ngumu kurudi labda naweza pata njia nyingine nzuri ya kufahamu hasa kusoma na kuongea.
Nataka kufanya hivo kwasababu zifuatazo
1. Napenda Sana kusoma na kuangalia habari za kimataifa.
2. Napenda kusikiliza miziki ya kingereza
3. Napenda kutazama movie za kingereza ambazo hazijatafsiriwa
4. Napenda tu kuijua hiyo lugha kwani nafikiria hapo baadae itakuwa na umuhimu kwangu kutokana na kazi yangu ya ufundi kwani muda mwingi huwa najifunza mtandaoni na masomo yote ni ya kingereza hivo video ndo marangingi zinanirahisishia
Mwisho karibia asilimia 90 hata kwenye visimbuzi chaneli ni zakingereza na habari nyingi ni za kimataifa ni za kingereza
Kama nitapata mwalimu pia nitashukuru.
Ila ajitolee ntamlipa kulingana na uwezo wangu
Elimu yangu mm ni Kama jina langu tu hapo Ila Nina idea kidogo hivo naamini sitamsumbua mwalimu kiasi hicho atakayepatikana.