Nataka kujifunza na kujua kuhusu Magic

The realy Ngosha

JF-Expert Member
Apr 22, 2013
340
529
Nataka kujua na ikiwezekana kujifunza kuhusu any kind of magic, kwa yeyote anaeweza kunisaidia tafadhari, namaanisha nilichokiandika tafadhari, kama haujisikii kutoa msaada usitoe kejeli Tafadhari nipo serious, napatikana arusha kwa sasa!
 
Vua nguo zako zote majira ya saa tisa za usiku

washa mishumaa kumi na mbili weka umbo la duara kaa kati kati yake

sema maneno haya

"ewe abigail nakupigia simu hii kwako
kukuomba unikubalie niwe mwanafunzi wako,
niweze kuwa mmoja kati ya washirika wako,
dunia na mbingu zote zijue uwepo wako,
kiunyeyekevu ninakuja kwako"


unasema mara 12

kama namba za mishumaa ile ilivyo halafu unapiga namba hii


(702) 450-0021


anaitwa Abigail McBride
 
Mkuu hiko kitu kingalia kina faida gani nikikija?
 
Magic ni kiini macho lkn c uchawi, lkn pia kuna magic inayotumia uchawi,
Sasa masharti ni tofauti na cjui wewe ungependa kujua magic ipi ili nikupe mwanzo mzuri
 
Shukrani zangu kwako
 
mshana jr husika na habari hapo juu
Mshana jr msaada uku...
Sitaki kumpeleka mahali ambako kutoka itahitaji guts za kutosha
Wachawi wengi hawana amani na wanaishi kwenye maagano na taratibu ngumu sana! Hawana uwezo wa kupinga pindi wanapotakiwa kufanya jambo fulani .....kupinga ni kwenda kinyume na maagano na ndio kiama chako
Na kitu kibaya kabisa kwenye hii tasnia ni makafara, pale unapotakiwa kutoa kafara la mtoto wako au ndugu ili upande cheo au daraja
 
Afanaaleki!!!
 
Magic na Uchawi ni kitu kilekile tofauti yake ni lugha tuu, labda Kama ungesema unataka Uchawi wa namna gani
Wa kitabu?
Wa majini?
wa mizimu?
Wa tunguli?
Au mchanganyiko?
Mshana mimi nataka nijifunze simple magic trick zisizo tumia uchawi mfano hizi za card au kupoteza coin nikitoka kwenye level ya u beginer ndo ntafikiria nianze na uchawi au lah
Tafadhal km una mtu anayepeform show za mazingambwe naomba namba yake
Asante
 
Duh! Serious?
 
Mkuu nakuomba maramoja upate kupita hapa unipe maono yako juu ya hii kitu

Msaada:- Tafsiri ya ndoto yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
 
Ukianza utanogewa ila vipo vyuo vinavyofundisha hizo habari kuna post yake humu ngoja nitaitafuta kisha takutag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…