Nyumba ipo Mkoa wa Pwani sehemu inaitwa Vikindu ni baada ya kiwanda cha Azam Soda & Juisipaua hata vyumba viwili mkuu kama una familia kakae, unaweza kuanza na milango na madirisha used kama hela haijakaa sawa baadaye unayachomoa, kwanza kibanda kipo wapi
...hebu soma tena hiki ulichoandika halafu ujiulize kama uliishirikisha akili yako sawasawa!Serikali ilifanya makosa makubwa kwenye kusimamia nyumba na makazi...ndio kisa cha watu kusumbuka hivi...serikali ilipaswa kujenga nyumba wananchi tupange humo kwa gharama nafuu kama ilivyo ulaya na marekani,finland nk sasa matokeo kila mtu anataka kua na nyumba yake jambo linalosababisha mlundikano wa vijumba vingi visivyofikia standard ya nyumba hasa wenyewe tunsita "banda"haiwezekani mtu uishi kwenye banda,hizi nyumba imekua tatizo dar hebu kama unakaribia kutua dar kwa ndege tazama chini uone msongamano wa vibanda hivi mbagala,kitunda majohe
SawaWakuu
Baada ya kusota sana na mshahara wa mwezi na mikopo ya masimango plus kero za wenye Nyumba, nimefanikiwa kusimamisha kibanda hadi kwenye RINTA.
Nimewaza na kuwazua nikafikiria kuhamia hivyo hivyo kwa kufunika mabat juu ya paa, milangoni na dirishani ili maisha yasonge.
Hapa nilipo kodi 100,000×6.
Mtanzania mwenzako naomba ushauri kwa suala hili, je nifanye maamuzi magumu au niendelee kuumia hapa hapa?
NB: Sina mtoto bali nina mke