Ushirombo JF-Expert Member Jan 22, 2013 3,558 2,701 Feb 7, 2016 #1 wadau nataka nibadili jina katika kadi ya gari yangu,niliagza mwenyewe mwaka 2012 lakn kupitia kwa jamaa yangu,huyo jamaa hayupo nchini tena,sasa nataka kadi iwe na jina langu,nafanya nini na gharama ni kiasi gan?
wadau nataka nibadili jina katika kadi ya gari yangu,niliagza mwenyewe mwaka 2012 lakn kupitia kwa jamaa yangu,huyo jamaa hayupo nchini tena,sasa nataka kadi iwe na jina langu,nafanya nini na gharama ni kiasi gan?
nanawoo JF-Expert Member Jan 2, 2015 1,306 1,269 Feb 7, 2016 #2 Inaangaliwa gari ni ya sh ngapi unapewa garama inaweza fika laki na 80 au zaid nenda tra uwe na mkataba wa mauziano wa gar na tin no uwe nayo Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
Inaangaliwa gari ni ya sh ngapi unapewa garama inaweza fika laki na 80 au zaid nenda tra uwe na mkataba wa mauziano wa gar na tin no uwe nayo Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 134,297 160,136 Feb 7, 2016 #3 Hati ya mauziano, ikionesha gharama za mauziano... kadi original ya gari... elfu kumi ya kadi mpya... ila watakupigia kodi kidogo ya mauziano...
Hati ya mauziano, ikionesha gharama za mauziano... kadi original ya gari... elfu kumi ya kadi mpya... ila watakupigia kodi kidogo ya mauziano...
Kingmairo JF-Expert Member Apr 7, 2012 4,936 3,542 Feb 7, 2016 #4 Pita pia kwenye web ya TRA nlishawahi kuona wameweka maelezo na malipo yapoje.
Ushirombo JF-Expert Member Jan 22, 2013 3,558 2,701 Feb 7, 2016 Thread starter #6 Jindal Singh said: Gari ya halal iyo? Click to expand... ndiyo
Jambazi JF-Expert Member Jan 18, 2014 16,648 18,732 Feb 7, 2016 #7 Hilo gari usikute @manuwar kakuuzia??
Jindal Singh JF-Expert Member Sep 9, 2015 1,857 1,538 Feb 7, 2016 #8 Ushirombgain ost: 15268999 said: ndiyo Click to expand... Gari yako aina gani mkuu.
Ushirombo JF-Expert Member Jan 22, 2013 3,558 2,701 Feb 7, 2016 Thread starter #9 Jindal Singh said: Gari yako aina gani mkuu. Click to expand... ist