Nataka kuagiza kifaa mtandaoni je? Nitadaiwa kodi

Ndio mkuu kitachajiwa kodi, ila kwa ninavyoelewa kuna baadhi havichajiwi au vina msamaha wa kodi kutokana na matumizi yake
Kifaa gani
Screenshot_20250202-202906.png
 
Hakuna kodi, agent wako wanaokusafirishia mzigo wako wanamalizana nayo wewe unatoa pesa ya nauli tu mzigo unaenda kuuchukulia kwenye magodowns yao bure kabisa sio bandarini
 
Back
Top Bottom