Natafuta wimbo huu wa dini "Nikilia Yahwe unanisikiliza"

infantry

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
313
303
Wimbo huu umeimbwa na Adonai Pentecostal Singers-Zambia kwa lugha ya kizambia ukienda kwa jina la Kafwa wandia.
Nahitaji ambao umetafsiriwa kiswahili, kwa mwenye nao tafadhali.
 
Kuna Wimbo unaitwa Umva uliimbwa na The Sower... "Sikia kilio changu ona kuteswa kwangu.... "
 
Wimbo huu umeimbwa na Adonai Pentecostal Singers-Zambia kwa lugha ya kizambia ukienda kwa jina la Kafwa wandia.
Nahitaji ambao umetafsiriwa kiswahili, kwa mwenye nao tafadhali.
Naomba ukiupata uweke hapa tubarikuwe wote
 
Wapendwa kuna wimbo sijui walioimba ila unamaneno ya. Nahman alikuwa jemedari wa vita wa. Jeshi l mfalme wa shamu lakini alikuwa na ukoma, nahman nenda ukajichovye mto yordan nawe utapon.
Naomba mwenye hii album
 
Wimbo wa marehemu sedekia
 
Hizo nyimbo mbili hapo juu nikilia yahwe ...na sikia kilio changu mumezipata niwatafutie?
 
Wimbo huu umeimbwa na Adonai Pentecostal Singers-Zambia kwa lugha ya kizambia ukienda kwa jina la Kafwa wandia.
Nahitaji ambao umetafsiriwa kiswahili, kwa mwenye nao tafadhali.

Kwenye computer yangu nina nyimbo kadhaa za hao ndugu Adonai,nikifungua kesho ntaangalia kama huo upo then ntakuomba phone namba yako
 
Ninao huo wa kwa kupigwa kwake na kuteswa ila nimeshindwa ku share.nielekeze nitume
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…