S scaltingscalting Senior Member Feb 10, 2017 148 55 Mar 11, 2017 #1 Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 natafuta mke wa maisha umri sio tatizo kikubwa awe na mapenzi ya dhati dini sio shida kwani ataendelea kusali alipokuwa
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 natafuta mke wa maisha umri sio tatizo kikubwa awe na mapenzi ya dhati dini sio shida kwani ataendelea kusali alipokuwa
Da'Vinci JF-Expert Member Dec 1, 2016 35,798 107,553 Mar 11, 2017 #2 Weka picha Weka mshara wako hapo Una nyumba na gari ngap Umetoa mkono wa sweta au Lazima uwapate nakuapia
Weka picha Weka mshara wako hapo Una nyumba na gari ngap Umetoa mkono wa sweta au Lazima uwapate nakuapia
S scaltingscalting Senior Member Feb 10, 2017 148 55 Mar 13, 2017 Thread starter #3 Sina gari ila nina watoto