Natafuta wana ambao ni Introverts

Mstaarabu Tz

Member
Jul 18, 2020
16
30
Habari.......!
Kama kichwa kinavosomeka hapo juu, naandika ujumbe huu nikiwa chumbani kwangu peke yangu, mimi binafsi ni introvert na najikubali sana na hii personality yangu but hadi sasa sijapata rafiki au mtu wa karibu ambae ni introvert kam mimi coz nataka tuwe tunashare mambo fulan yanayousiana na hii personality.

0675173464 watssap
 
utakuja kuwekewa mzigo ww tafuta watu wa kukaa nao chumbani tu
 
Kitendo cha kutafuta rafiki means kwamba unafosi kuwa hiyo introvert.

Achana na hizo personality categories badala yake ishi maisha halisi mkuu.

Kama ni mpenzi wa mpira tafuta mtaa ambao watu hucheza mpira ukajoin hapo utapata marafiki hapohapo wanaokufaa.

RAfiki hatafutwi kama unavyotafuta kazi,urafiki nk kitu natural sana hata ukiulizwa ilikuwa mkazoeana na rafiki fulani haukumbuki,mnajikuta ni washkaji.

Hakuna mtu ambaye hahitaji marafiki wa kuzungumza nao na kutaniana nao mambo mbalimbali.
 
Nipo apa introvert ☝☝
 
Hamuwezi mkadumu coz watu wa hii character huwa ni ngumu kukeep marafiki kwasababu si watu wakupiga simu mara kwa mara si watu wakuchat mara kwa mara kwahiyo anaweza akajitokeza hapa ila mkaishia kuchat siku mbili tatu then basi. Halafu kitu kingine muhimu ni kwamba urafiki huwa hauji kwa kupanga ni kitu ambacho kinakuja naturally yaani mnajikuta tu mnakua marafiki coz kuna vitu common vipo kati yenu.
 
Upo kama mm binafsi nasikia raha naamani sana ninapokuwa peke yangu ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…