Natafuta Wakala (Agent) wanao safirisha mizigo kwa ATCL kutoka nje ya nchi kuja Tanzania

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
7,307
9,621
Habari wakuu,

Kama kuna mtu anawafahamu ma agent wanaosafirisha mizigo kwa ATCL kutoka nje ya nchi Kuja Tanzania.

Tunaomba waorodheshe hapa.
 
Mkuu ukiweza kufika pale airport terminal 2,ulizia ofisini kwao Moja Kwa Moja utapata data nzuri Kwa uhakika
 
Ungesema ni nchi gani mahala mzigo ulipo..ingekua rahisi kujua kama tunatawi huko.
Karibu whatsap kwa ufumbuzi said
+255 658811119
 
Back
Top Bottom