Heshima kwenu wadau.
Kuna siku niliona mtu kapost akieleza kwamba yeye ni wakala wa tanesco anaweza muunganisha umeme na pia kuuza nguzo. Namuhitaj huyo mtu au wakala mwingine 'authorised' ili niongee nae kuhusu kuniunganishia umeme sehemu flani hivi kijijini. Asanteni.