M Mtumwa baniani Senior Member Apr 13, 2013 128 26 Feb 21, 2017 #1 Natafuta wafasiri wanaoweza kufasiri lugha hizi kwenda katika Kiingereza: Bangala, Kizigula na Mai Mai. Walio na uwezo huo tafadhali waje inbox. Asanteni.
Natafuta wafasiri wanaoweza kufasiri lugha hizi kwenda katika Kiingereza: Bangala, Kizigula na Mai Mai. Walio na uwezo huo tafadhali waje inbox. Asanteni.