Natafuta ubavu wangu

james22

Member
Nov 15, 2015
24
5
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa Neema ya uhai na afya.

Pili napenda kuchukua wasaa huu kuwashukuru wote wanaoifanya jamiiforum kutufanya tupate pa kusemea.

Tatu nawashukuru wadau wote wa jukwaa hili na jamiiforum kwa ujumla, kweli wadau mmekuwa na mawazo na michango inayotia moyo na kuburudisha kwa namna moja au nyingine.

Baada ya shukrani zangu hizo sasa niende moja kwa moja kwenye uhitaji wangu.
Natafuta ubavu wangu yaani MKE MWEMA. Mimi ni mwanaume mwenye miaka 35, mkristo, Nina shahada moja kutoka udsm, mtumishi wa serikalin, mkazi wa moro, ,mrefu kiasi na ni mcha Mungu.

Mwanamke ninayemtafuta awe serious na tayari kuingia kwenye ndoa. Awe pia mcha Mungu, mwenye nia ya dhati, mkweli, mwenye elimu angalau ya kidato cha nne, umri kati ya miaka 26-34, asiwe mfupi sana,kabila lolote, mkristo, mwenye shughuli yyte ya kumingizia kipato.

ALIYE TAYARI ANIPM.

Please ni kwa aliye serious tu, sihitaji mizaha wala utani.
 
Looh!!!jamanii nimekukosa,huo umri haupungui pungui kidogo mtafutaji!????kwingine kama nimefiti hivii
 
sasa ubavu unakuja kutafuta umu? utakuwa unatudhalilisha banaa! tangu lini mke mwema anatoka JF? hebu tumia utundu wako sufficient,kumpata mke sio mitandaoni utapata michangu alafu uje kutuomba ushauri umu ndani! be strong Man,this women are so weak,i mean easy to carry them at any time anywhere,anyplace and anytime! as you call ubavu just use it!
 


Muache jamaa aendelee na plan yake bhana..
 
Acha mawazo ya kufikirika zaid kuliko uhalisia Machangu yapo hata hapo ulipo,
Isikute hata dada yako anatafuta huku.
 
Umeandika vizuri kuna sehemu umejichanganya. Unaposema anywhere je hapa jf sio mahali?. Hata hivyo nakupongeza kwa kumpa mawazo ya ujasiri. Mimi naamini kama umempenda mtu kwa nia ya kumuoa, huna haja ya kua na hofu, mfuate mueleze na akikataa nenda kwa mwengine.
 
sasa ndoa inatafutwa kwenye mtandao? fikilia vizuri bana!

baki Na ushamba wako kwa kutoamin unachokitumia, Kuna rfk yangu amefunga ndoa Na wamekutana hapahapa Na wote Ni wafanyakazi....kama uhun Ni wako usiwakatishe watu tamaa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…