Natafuta Toyota Corolla Old 1996-2001 ya kununua

SOKO LA MAGARI

Senior Member
Oct 26, 2014
115
66
  • Iwe na Engine 4A, 5A na Automatic Gearbox (manual tutaongea)
  • Iwe imetunzwa vizuri hasa body liwe limenyooka
  • Namba yeyote lakini bora zaidi kuanzia B, C, D
  • Iwe popote tanzania iweze kufika Dar hata kwa gharama yetu
  • Bei ni makubaliano kulingana na hali ya gari

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…