SOKO LA MAGARI
Senior Member
- Oct 26, 2014
- 115
- 66
- Iwe na Engine 4A, 5A na Automatic Gearbox (manual tutaongea)
- Iwe imetunzwa vizuri hasa body liwe limenyooka
- Namba yeyote lakini bora zaidi kuanzia B, C, D
- Iwe popote tanzania iweze kufika Dar hata kwa gharama yetu
- Bei ni makubaliano kulingana na hali ya gari