Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,750
- 17,247
Wakuu umofia kwenu.
Jamani natafuta Toyo kwa ajili ya kusambaza bidhaa, iwe mpya au used kwa ajili ya kukodi au rental purchase, tutakubaliana kwenye mkataba.
Kama ana mtu wake anaemuamini atapewa daily allowance plus monthly salaries, mradi awe anajua kuchakarika.
Biashara inafanyika Dar.
Yeyote mwenye nayo tafadhali
tuwasiliane