Natafuta tempo jamani!

Mnyitono 2

Member
Oct 29, 2010
16
1
Ndugu zangu nisaidieni kama kuna ipo.Mimi nasoma chuo cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MIST),mwaka wa pili diploma, idara ya Umeme na Electronics.Nisaidieni jamani likizo ya mwezi wa 12.
 
mnyitono 2, Mbona auko spesifick, maana tempo nyingi bongo hulipwi ile kiviile, sasa wewe wataka mahali gani?
pia wataka yenye mazingira yapi?
unaweza pewa tempo ukiangalia unatumia laki unalipwa 80,000...!!
Tumsaidie huyu ndugu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…