Natafuta system ya bei nafuu ya ulinzi wa duka langu

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,463
makofuli hayaamini kabisa, walishawahi kuyafungua yangu wengine wanasema hao wezi walitumia gesi , Mara wana mafuta maalumu, sijui walitumia nini
Wakuu naomba mwenye system ya ulinzi wa dukani
1. Nikiwa popote nipate alam ya kinachoendelea
Au
2. Kama kuna kofuli imara
 
.
Ingia FB tafuta mtu anaitwa Frank Waya
 
mkuu kama unahitaji system ya ulinzi karibu tupo kinondoni manyanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…