BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Mikoani ni last option mkuu maana kuna gharama za usafiri piawa mikoani unachukua? kuna tajiri wa kigoma anaitwa yalimo, anasema nguruwe wamempa utajiri
Mkuu, nitumie namba yako ya simu. Yangu 0759692024Habari zenu wakuu,
Nina uhitaji wa nguruwe kwaajili ya kuchinja na kuuza aliyekuwa kaniuzia naona ameshindwa kwakuwa nguruwe wake wamebaki wachache sana. Napatikana Dar
Vigezo:
1. Uwe na uwezo wa kuniuzia nguruwe kumi na nne kila mwisho wa wiki, kwakuwa kila siku nina chinja nguruwe wawili. Ukishindwa kabisa kumi na nne basi atleast nguruwe si chini ya saba.
2. Uwe mwaminifu, usiniuzie nguruwe kwa kuwa ana matatizo ya kiafya.
3. Nahitaji kununua kwa mfugaji na si kwa wafanyabiashara ili kupunguza gharama za manunuzi.
4. Tutaandikishiana mkataba wa mwaka mmoja ambao ni renewable.
Kwa wafugaji, niPM unitumie na bei zako tuone ni jinsi gani tunaweza kuanza biashara nawewe.
Asanteni.
mkuu ume mreply nani hii comment naona kama ipo by mistake am curious to know.Umefata nn huku mnafiki mkubwa ww kwan kichwa cha habar hukukiona?
Jina la mwanzo Munawar mmhh?
Jina kamili litakuwa:- Munawar Nguruwe Mkubwa
Ukiwa na hasira JF unaweza kufa kabla ya siku zako kufikaAstaghafirulah
Nguruwe ni haramu.. Na pia nyama ya nguruwe ina "tape worms" ambao hawafi kwa kuchemsha .. So ukila jiandae tu kushwa utumbo wako na minyoo.. Ukisikia minyoo sugu ndo hawa.. Ata unywe dawa ya minyoo kila siku hawafi. Hii imethibitishwa na wataalam wa afya
Hahaha...Hatuchemshi tunakaanga!