Natafuta spika ndogo za matangazo

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,703
1,510
Habari Wakuu. Kuna hizi loud speaker ndogo ya kushika mkononi ambazo kwa mfano ukienda sokoni wafanyabiashara huzitumia kutangazia bidhaa zao au wengine hupita nazo mitaani kutangaza kwa mfano dawa za kuua wadudu.

Nipo Arusha nimejaribu kuulizia kwenye maduka kadhaa sikupata. Anayejua wapi zinapatikana naomba msaada wake. Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom