Natafuta soko la uyoga

uyoga_mzuri

Member
Mar 13, 2017
8
1
Habari zenu
Mimi ni mkulima wa uyoga aina ya oyster nipo arusha mjini na nimeanza kuvuna, kwa atakaehitaji or anaejua soko la uyoga naomba anijuze private message
 
Hivi Arusha na hoteli zote hizo za kitalii uyoga unakosa soko? Ebu jiamini nenda hoteli za kawaida na za kitalii zungumza nao uone kama watakupa oda.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…