doctor of philosophy
Member
- Jul 20, 2024
- 42
- 92
waungwana kuna soko la ubuyu pahala, natafuta sana soko lake, ubuyu upo tena wakutosha
Niliwahi kusikia huu ubuyu una soko sana Zanzibar ila pia waweza pita kwa wale wanaouza kwenye mabeseni uliopikwa.....wanakoupata nadhani wewe utauuza huko.ni ule mweupe yan ile raw material kabsa
ndugu muuzaji...unauza kwa kipimo gani na bei yako ikoje? na unadhani kila mtu anajua unapoishi?ahsante kwa mawazo mkuu
Kila la kheri kwake lo
Gunia bei gani? Na upo wapi?waungwana kuna soko la ubuyu pahala, natafuta sana soko lake, ubuyu upo tena wakutosha