Natafuta soko la mayai ya kienyeji pure

Wanataka mayai ya maabara. Mzungu mtu mbaya sana.
shida si hiyo eti yai la mabara huo ni uzushi unaoweza kukubaliwa na mtu ambaye shule hamna(hakuna yai la mabara) wenzetu wako makini sana juu ya hatari ya magonjwa ya mlipuko kutoka kwa ndenge na wanyama kuja kwa binadamu

ukweli ni kwamba kuku wa kienyeji mara nyingi hawapiti chanjo na hujenga usugu wa pengine kubeba vimelea vya magonjwa yanayoweza kutoka kwa ndege kuja kwa binadamu kupitia mazao yao kama nyama na mayai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom