Natafuta shule nzuri ya Boarding.

Yukina

JF-Expert Member
Feb 2, 2017
201
112
Natafuta shule ya Boarding ya mchanganyiko Cape town, kwa form one naomba msaada wenu.
 
Kunae shule inatwa limbeta IPO moshi ni nzur ila bakora ndio mpango mzima I was the 1999
 
Jamani mimi natafuta shule Cape town in south Africa, shule ya Boarding .
 
Nilivyoona Cape town nikajua South Africa kumbe unatafuta hapa hapa bongo
Mr. Wenger kama unaelewa shule ya Secondary schools ya Boarding nzuri iliyopo Cape town in south Africa, naomba ushauri wako tafadhali..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…