Natafuta shared office - Kinondoni

herman3

JF-Expert Member
Feb 7, 2015
554
730
Habarini.
Wazoefu wa shared office niko na startup yangu, hivyo niomena ni bora nipate shared office kwa miezi hii ya mwanzo kuliko kupanga office nzima maana gharama zitakuwa kubwa.

Hivyo naombeni wazoefu wa shared office mnipe ABC zake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom