martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 863
- 1,462
Habari wakuu,
Nina mpango wa kwenda kupanga na kuanza maisha yangu mapya,
Hivyo natafuta samani za ndani iwe kwa moja moja au hata vyote kwa pamoja kwa wenye navyo.
Samani hizo ni kama
Godoro, kitchen cabinet, vyombo, feni, pasi, zulia dogo nk.
Nipo tayari kulipia muda wowote.
Tafadhali sana kama unavyo nisaidie kunicheki pm au namba yangu,
Nipo Dar Es Salaam.
0787698930