Long time no see you brotherAta mm nilitaka kusema hivihivi!!
Kwanini umependa tumia jina hilo? "Mjingamimi"
Long time no see you brother
Nipo pande za Monduli huku mkuu.
Nilidaka fursa ya kuchunga ng'ombe wa jamaa.
Hiyo ni njia ya kijanja janja ya kutafuta mume mkuu!!Kwani rafiki razima muwe na umri sawa au akuzidi umri-mentality za ajabu hizi