Babamchafu
New Member
- Oct 18, 2020
- 1
- 2
Habari wanajamvi, naitwa ***, jinsia ya kiume na mkazi wa Arusha mjini, lengo la thread hii ni kama inavyojieleza (natafuta rafiki wa jinsia ya kike) kwa lengo la kubadlshana mawazo na connections mbalimbali
Umri wowote
Kabila lolote
My CV
. Kwa sasa ni mwanachuo ninayetegemea kumaliza ivi karibuni
. Nachukua Bachelor Degree in ICT Engineering
.Mrefu wa wastani and brown in color
. Non talkative man
NOTE: Rafiki awe serious kwa urafiki TU!
Nawasilisha
Kama upo tayali ni PM