Natafuta rafiki(Kondakta/Dereva)

Vlada8

Member
Nov 19, 2015
10
0
Habarini,
Naitwa Innocent(Me),Natafuta rafiki/marafiki wa kubadilishana nae/o mawazo ya kimaisha;awe dereva au kondakta wa magari ya abiria yafanyayo safari ndani ya jiji la Dar es Salaam.Umri wowote na jinsia yeyote.
**Lengo ni kubadilishana mawazo ya kimaisha(Urafiki wa kawaida)
Yeyote atakayekua tayari,tuwasiliane kwa 0625 518 349 au anitumie pm.

Shukrani.
 
....nadhani ni MTU anayehitaji kuifahamu shughuli hiyo kwa kina possibly anachombo hicho na amekivundika ndani.
 
Una uhakika na JINSIA yako kijana!!????
 
Wataka kusafiri bure rahisi sana kuwajuwa.... ahahahahahaaaa .... kupaniki ruksaaa...
 
itabid
uzoee
kupanda gar la aina moja waksha kuzoea
watakuwa
mabest
zakow
 
Mimi dereva wa daladala mkuu ila nilianzia ukonda.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…