Natafuta partnership wa kuanzisha kampun

man84

Member
Nov 18, 2014
13
10
Ni kama inavyojieleza hapo juu, mimi ni mfanyabiasha wa mda mrefu natafuta partner wa kuanzisha kampuni ambayo tutaanzisha kutegemea na mtaji wetu tutakao kuwa nao, mwenye malengo ya kukua kibiashara zaid, biashara ziko nyingi, ambazo tunaweza fanya endapo atapatikana mtu tutakaelewana kibiashara zaid,
 
Sasa unataka mshirika wakati, hujaweka hata details za kutosha kuhusu aina ya hiyo kampuni, au biashara itakayofanyika?

Uwezi kupata mshirika wakati hujapambanua taarifa yako
Kampuni ya kuagiza magari na kuuza na transportation
 
Hongera sana mkuu, mkihitaji consultant kwa ajili ya kudajili kampuni, masuala ya kofi TRA pamoja na uendeshashaji wa kampuni usisite kunitafuta
0755963775 calls/WhatsApp
 
Ni kama inavyojieleza hapo juu, mimi ni mfanyabiasha wa mda mrefu natafuta partner wa kuanzisha kampuni ambayo tutaanzisha kutegemea na mtaji wetu tutakao kuwa nao, mwenye malengo ya kukua kibiashara zaid, biashara ziko nyingi, ambazo tunaweza fanya endapo atapatikana mtu tutakaelewana kibiashara zaid,
Ongeza nyama kijana
Halafu hakuna kitu kinaitwa biashara zipo nyingi
 
Back
Top Bottom