Natafuta Part Time Job

Kiziwanda chema

JF-Expert Member
Sep 2, 2016
288
478
Husika na mada
Mimi ni kijana 25yrs natafuta kazi yoyote ya halali kwa Dar es salaam
Nina elim ya kidato cha sita na nina ujuz kidogo wa computer
Kazi yoyote nafanya ila iwe halali
Msaada wako ndo tumaini langu
Ni PM au ni-contact kwa Namba 0767775726
 
Humu Jf mwanamke akitaleta Uzi wa kutafuta kazi utaona watu kibao ni pm ila dume watakukosoa kinyama
 
wanaume jf 60% mabishoo sana wamalizapo vyuo hukimbilia majukwaa ya kazi na siasa kweli hii ni mbaya sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…