D Darwin JF-Expert Member May 14, 2008 908 57 May 10, 2016 #1 Wadau wa Zanzibar kama mpo natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Michenzani, Kikwajuni, Mtendeni, Mlandege na Kilimani. Iwe na vyumba viwili ya kulala au vitatu. jiko na living room.
Wadau wa Zanzibar kama mpo natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Michenzani, Kikwajuni, Mtendeni, Mlandege na Kilimani. Iwe na vyumba viwili ya kulala au vitatu. jiko na living room.
Mavipunda JF-Expert Member Jun 27, 2012 7,005 7,734 May 10, 2016 #2 Niliishi kilimani wakati nipo kikazi huko ngoja nimtafute yule dalali aliyenisaidia afu nita kutext
D Darwin JF-Expert Member May 14, 2008 908 57 May 16, 2016 Thread starter #3 Mavipunda said: Niliishi kilimani wakati nipo kikazi huko ngoja nimtafute yule dalali aliyenisaidia afu nita kutext Click to expand... Nitashukuru ukifanya hivyo
Mavipunda said: Niliishi kilimani wakati nipo kikazi huko ngoja nimtafute yule dalali aliyenisaidia afu nita kutext Click to expand... Nitashukuru ukifanya hivyo