Natafuta nvidia card (video controller)

kelvin miho

JF-Expert Member
Dec 9, 2016
281
134
Jamani habarini zenu wakuu,

Samahani nina CPU yangu imeunguza video card ilipigwa na rad if kama kuna wauzaji wa accessories za computer nisaidieni location Tukuyu, Mbeya.
 
Kuna jamaa anauza kkoo, ila yenyew n ndog inauzwa 35K, ni duka limetazaman na kanisa flan la kilutheri, wanauza PC za mtumba pale!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…