HAMISI Nuru
Member
- Oct 11, 2019
- 23
- 17
Habari zenu, Msaada kwa mtu yeyote anaejua NGO's yoyote ambayo naweza nikajitolea hata bure niwe nafanya kama part time muda ambao nakuwa nipo tu sina cha kufanya ni bora kujitolea katika jamii kuliko kukaa bure tu na kupiga zogo.
Conditions zangu ni
1. Shirika liwe Dar es salaam
2. Niwe nafanya kama part time baada ya shughuli zangu za kutafuta ugali wa familia lakini kama ntahitajika fulltime ntahitaji malipo kwasababu nna majukumu.
CV yangu kwa ufupi
*Age 30 yrs
*Bachelor of Business administration holder
*Experience in teaching secondary education centers for One year and Business college as a tutorial assistant lecturer for one year.
Mawasiliano: 0689094097 / 0679094097