bonnykessy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 204
- 230
Nunua ambacho hakionyeshi TBCCM...mkuu ebu nishauri kati ya startimes na azam kipi bora na bei za kununua hivyo visembusi ni tsh ngapi ?..
Mimi ningekushauri azam bei ni shilingi 160000 kwa mbeya. Star times sijui bei yake maana nilinunua muda kidogo ila programs zake sio nzuri sana...mkuu ebu nishauri kati ya startimes na azam kipi bora na bei za kununua hivyo visembusi ni tsh ngapi ?..
Uchaguzi umeisha na ccm ndiyo imeshinda. Kama watanzania inatakiwa kwa pa1 serikali ikifanya vizuri tuipongeze. Na ikikosea tuikosoe. Uchama hautatusaidia chochote bali utaifa.Nunua ambacho hakionyeshi TBCCM.
Mpendwa mteja,kutokana na maboresho kwenye vipindi vya ZUKU,kifurushi cha Classic kitakua 18,000/- & Premium 25,000/- kwa mwezi kuanzia 1st March 2016.Asante
..ndiyo sms waliyonitumia zuku muda si mrefu,liking'amuzi lao halina quality kiviile..juzi tu walipandisha bei kutoka 13 000 classic kwenda 15500/= leo wamepandisha bei mpaka 18 000/=…mbaya zaidi kifurushi kikikata huoni chochote even local tv chanels,hawanipati tena ng'o!!!
..ni sawa..basi watuwekee free channels chache za nyumbani.Sawa...ila ina vipindi vzr na haiboi so nilazima kizur kigharamikiwe
Nenda kanunue decoder ya startimes ile inayotumia dish,then tumia hilo dish la ZUKU.....mkuu ebu nishauri kati ya startimes na azam kipi bora na bei za kununua hivyo visembusi ni tsh ngapi ?..
..asante mkuu..kweli umenipa maujanja..hizo fedha nyingi ambazo ningezitumia kununulia full kisembusi cha startimes au kuendelea kulipia iyo 18 000/= ya zuku NITAZIELEKEZA KWENYE MATUMIZI MENGINE.Nenda kanunue decoder ya startimes ile inayotumia dish,then tumia hilo dish la ZUKU...
Nafkiri decoder pekee inauzwa 50,000.
Ulikua unataka kuni-quote mimi? au mtu mwingine?Uchaguzi umeisha na ccm ndiyo imeshinda. Kama watanzania inatakiwa kwa pa1 serikali ikifanya vizuri tuipongeze. Na ikikosea tuikosoe. Uchama hautatusaidia chochote bali utaifa.