Habari za wakati huu wanajamii forum? Mi niko vyema kabisa!
Kwa mara nyingine tena, nakuja kwenu, lengo ni kutafuta fursa ya kazi yoyote halali.
Nina experience ya marketing and promo strategies kwa miezi kadhaa. Kuuza kwenye store za nguo, vyombo na vifaa vya electronic. Lakini pia ni creative content writer (story au script writer) kwa kazi za sanaa. Nina elimu ya uandishi wa script kutoka pale Nafasi Art Space kama volunteer.
Kazi ambazo nimewahi fanya kwa muda mrefu sana ni; kuuza kwenye library za kuuza filamu zikifuatia zingine nilizotajwa hapo juu.
Kwa mwenye connection ya kazi naombeni. Sio lazima iwe kati ya hizo tajawa hapo juu.
0714143704 napatikana kwa mawasiliano hayo.
Siku njema.