NATAFUTA NAFASI YA INTERNSHIP BSC CHEMISTRY

Tommy 911

JF-Expert Member
Mar 5, 2019
587
480
habarini Wana jf. mimi ni kijana wa miaka 23 nasoma bsc chemistry,Mwenge catholic university natalajia kumaliza chuo mwezi wa nane mwaka huu(2024). hivyo basi natafuta sehem ya kufany internship iwe kiwandan au migodoni kote nafany as quality controller, lab scientist and chemist.

mwenye kujua namna ya kupat internship kwa urahisi msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom