Natafuta mwenza (mke) umri miaka 25 - 35 mwenye kujielewa , elimu kidato cha nne na kuendelea,dini yoyote.
umri wangu ni miaka 35
elimu digrii
kazi ni mjasiliamali
naishi Dar
kwa aliye tayari tafadhari ni PM
Mkuu kama ulivyoelekezwa humu wenzio wamepata wake kibaoo ,ila wanaweka picha zao , ebu Fanya fasta kabla hawajakufuta maana uu mgeni wewee hujui taratibu za uku