Natafuta mwanaume mgane

Duh umeandika kwa ukali Kweli aiseee, humo ndani kwenye nyumba kutakalika Kweli? Wanaume wenyewe wa tia maji tia maji!!!
 
Duh umeandika kwa ukali Kweli aiseee, humo ndani kwenye nyumba kutakalika Kweli? Wanaume wenyewe wa tia maji tia maji!!!
Oohh nimekuelewa vizuri, basi kama deadline itapita na hajapatikana mtu hebu utanicheki kwa PM japo upate faraja!! Ukubwa dawa na penye wakubwa haliharibiki jambo.
 
Subiri sasa msg kutoka kwa mifataki iliyoacha wake zao vijijini. Watakulala halafu watoke nduki.
 
Subiri sasa msg kutoka kwa mifataki iliyoacha wake zao vijijini. Watakulala halafu watoke nduki.

Natamani nikufuate kwa pm, vp mahusiano yako ya mwanzo kilitokea nn? Mko mkoa gani? Kama haitakuwa vema kuandika hapa ni pm tafadhali"
 
Unaonekana uko genuine na lengo lako ni zuri. Kila la kheri. Kumbuka watakuja inbox/PM wahitaji wengi tu. Hivyo, kuwa makini tu maana kwenye safari ya mamba hata kenge wapo. Na joto likizidi sana huko PM usisite kupiga kelele na kukimbilia huku ukumbini kwa ndugu zako ili tukusaidie
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…