Natafuta Mwanamke Wa kuzaa Nae Kwanza

Movies Store

JF-Expert Member
Mar 17, 2022
288
938
Nimefungua hii thread niko serios sina utani hata point 1,sitojibu comment ya mtu yeyote zaidi ya PM tu kwa wale watakao kuwa serious na watakaokuwa tayari.

Mimi ni kijana wa 32yrs nimeshakua na mpenzi si mara ya kwanza kuwa na mpenzi,nina mtoto 1 yuko kwa mama yake (nampenda kusiko tamkika)

nilitamani kumuoa mama mtoto wangu ila alileta vikwazo vya ajabu sana ambavyo siwezi visimulia hapa,ki ufupi baada ya vikwazo vile Ndugu zangu pamoja na mimi nilikubaliana nao kuwa nitafute mtu mwingine (yule si mwanamke). Tulimalizana hivyo.

Muda unaenda majukumu yanaongezeka naona kama nahtaji zaidi mtoto kuliko mpenzi, japo mpenzi n wa muhimu pia ila sijapenda kuji attach eneo hilo La mapenzi,nahtaji natamani mwanamke ataekua na shauku niliyo nayo.

ikitokea tukaelewana damu zikaendana tunaweza kuwa wapenzi,ila priority number 1 iwe ni mtoto, Nipo tayari kulea mtoto kwa asilimia 100.

Hata kama mama mtu huna kazi,matumizi ya mtoto nita cover kwa asilimia zote sijali khusu kipato cha mwanamke,sijali kabila,sijali sura au muonekano.

Najali jambo 1 tu ambalo ni lazima kwa mwanamke ataepatkana, ajue kujiheshimu ,ajue kuwa na maamuzi,ajue jema na baya,ajue nn kinafaa kwa mtoto na nini hakifai,Ajitambue.

Naishi Dar, Mapenzi baadae akili zote na mawazo yote kwanza ni Mtoto mengine yatafata baadae.

Sipo tayari kuishi na mwanamke hivyo mwanamke husika awe anajitegemea ajue anapoishi n wapi,atakuja tu kupafahamu kwangu pale ataponiambia ana ujauzito wangu,ila for the time being kila mtu atakua anajitegemea.

Kazi yangu : sina kazi moja nafanya za kutosha ambazo zinaweza mfanya mwanangu akapata mahitaji yote muhimu kama watoto wa wazazi waliojipanga kabla hawaja tafuta watoto.

Serious Woman namkaribisha PM, Asizidi 37yrs nadani yatosha,Napenda watoto asiogope niambia kama ana mtoto,huyo n wake na sitegemei kama kuna mwanamke ataemkana mwanae,ukweli ni sifa namba 1 ya nimtafutae. Asanteni. Sitojibu Comment ya aina yoyote zaidi ya PM tu.
 
Kijan acha mambo yako kabila lolote ile unaoa

Siyo kila kabla uanaoa wacha waoane wenyewe kwa wenyewe
 
Kuna mmoja humu alikua anatafuta mwanaume. Nikipata uzi wake nitakutag
 
Shida yako inakuaje mtoto wakati tayari umesema unaye mmoja?

Si uende ukamchukue kwa mzazi mwenzio uje uishi nae?

Kwahiyo huyo mwanamke asipopata ujauzito ndo utakua umemla mbususu yake bure bure na utatafuta mwingine?


Jibu maswali acha uboya..........ila nakuhakikishia ukimpata unayemtaka kwa masharti yako ya kipumbavu atakua ni kichaa kweri kweri.
 
Hata huyo unayezani ni mtoto wako ukute siyo.

Huenda huyo mwanamke alikubambika tu ili umpe ruzuku ya malezi .

Huyo mtoto huenda mmepewa wababa zaidi ya 3 na wote mmekuwa mkipeleka ruzuku tangu mimba hadi malezi ya mtoto


Sasa mwanamke wa hivyo siyo rahisi akubali kukupa mtoto maana anajua ruzuku itakata kote na wale wababa wengine atawaambia mtoto kaenda wapi kwa bibi yake au ?

Halafu Mwanaume mwingine hakubali kuibiwa kindezi Kwa kubabaishwa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…