Natafuta Mume

07dominica

New Member
Nov 2, 2023
1
30
Habari za humu JF

Mimi ni mwanamke umri 34yrs naishi Dar es Salaam natafuta mwanaume wa kunioa

Sifa zangu
Trible:mpare wa ugweno
Elim Digree
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)

Nina watoto 3 niliwahi kuolewa Ila Bahati mbaya amefariki kwa ajali ya gari, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa Kiasi Ila si sana)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi ni mrefu Kiasi(wastani)

Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 40 hadi 55 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo

Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na watoto ni Sawa nitawapenda Kama Wangu, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu dm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
 
Mungu akusimamie umpate mwenza
 
Kila la kheri mtani
 
Leo nimefikiwa. Ila nimeshazoea kukaa bila mke mwaka wa 5 sasa. Nakuja.
 
Tulia lea watoto wako watatu acha kutanga tanga.
Watoto watatu wote unataka kumpa nani huo mzigo ?......
Sema unataka wa kukusaidia kulea watoto wako acha kutafuta huruma na unafuu wa maisha!...
Mtumishi wa Mungu anatafuta haki ya ndoa aka tendo la ndoa la halali maana miaka 34 bado sana, au unataka awe anafanya uzinzi wakati mwenzako anatafuta mume wa kumalizia uzee (usimbanie bwana mwache apambane)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…