Habari zenu wa MMU...Uzi huu nimeamua kuandika baada ya mdada mmoja kunipa ushuhuda alipa true love hapa ndani....I hope na mimi nitapata Mungu akipenda
Natambua uwepo wa wakaka walioumizwa na mahusiano, waliotulia na wanatakani ku- settle na kujenga familia.
Mimi Nina miaka 25
Ni mama wa mtoto 1
Nina kazi
Ni maji ya kunde
Ni mkristo
Ninatafuta mume umri asinizidi zaidi ya miaka 7
Kuwa na mtoto au kutokuwa nae kwangu sio kigezo
Awe anajishugulisha
Awe mkristo (akiwa na hofu ya Mungu na mpenda ibada atanifaa sana)
Mengine tunaelewana kadri tutakavyofahamiana
Natamani maisha yangu yaliyobaki niyatumie kumpendeza Mungu na kujenga familia na zaidi natamani kupata mume nitakayezeeka nae.
Nawasilisha
NB. Usiniambie sikuwaona niliosoma nao au siwaoni mtaani kwangu....mume anatafuta popote .
Sina tatizo lolote la akiafya wala kitabia nimeamua kutafuta mtu hapa kujaribu bahati yangu ...True love inapatikana popote
Wale wa matusi,kejeli, dharau, comment za kuvunja wenzenu mioyo, .... natambua mnahitaji msaada wa kisaikolojia...wengine mna stress za ndoa maisha na kiuchumi ndio maana mnakuwa hivyo natambua uwepo wenu ila naomba Leo mkae mbali na huu Uzi