mama mtarajiwa
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 290
- 449
Njoo pm tuyamalizenaishi mkoa wa dae es salam
nipo teyarinaishi mkoa wa dae es salam
kila kitu ninachowanaume tunaangalia uzuri na mvuto pia..
Daaah, sinabahati hakyanani.naitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi .uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu. kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa
Dah! Umri tu ndio kikwazonaishi mkoa wa dae es salam
Ipo namna ya kipunguza Masharti hasa hili la umri?naitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi .uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu. kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa
utapata tu rika lako subiriIpo namna ya kipunguza Masharti hasa hili la umri
utapata umri wako wapo wengiDah! Umri tu ndio kikwazo
siwezi kuja nimeajiriwa dsmMi Dodoma upo tayari kujja
Wewe una umri gani? , maana haya ma umri ni manamba tu usije poteza huba adhimuutapata umri wako wapo wengi
Nahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu.
Kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. Ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .Miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa
Naishi mkoa wa Dar es salaam
Mama mtarajiwa una mambo sana.
Ngoja nikupe ushauri kidogo...usidanganyike na umri ktk mapenzi.
Binafsi nilikuwa na imani kama yako kuwa wanaume walioko kwenye 30's ndio wenye akili timamu za maisha na mapenzi lakini baada ya kuwa nao nimegundua hawana lolote kupitia mpenzi wangu wa sasa mwenye umri chini ya miaka 30.
Labda nawe uwe kwenye miaka ya 30 ila kama ni chini ya hapo my dear ondoa hiyo mentality haraka sana.
Otherwise, all the best.
Umenena vyema hebu ngoja tusubiri fikra mpya sisi under30Mama mtarajiwa una mambo sana.
Ngoja nikupe ushauri kidogo...usidanganyike na umri ktk mapenzi.
Binafsi nilikuwa na imani kama yako kuwa wanaume walioko kwenye 30's ndio wenye akili timamu za maisha na mapenzi lakini baada ya kuwa nao nimegundua hawana lolote kupitia mpenzi wangu wa sasa mwenye umri chini ya miaka 30.
Labda nawe uwe kwenye miaka ya 30 ila kama ni chini ya hapo my dear ondoa hiyo mentality haraka sana.
Otherwise, all the best.