Natafuta mume, nina umri wa miaka 25

Ninahitaji mtu ambaye Mungu akijalia ataweza kuwa mume wangu..
Kuhusu Mimi;
  • nina umri wa miaka 25
  • naishi Dar
  • ni mjasiriamali
  • sina mtoto/watoto
  • Elimu ni certificate.
Anayehitajika ni mtu ambaye kutokana na kuwasiliana tukaendana mtazamo, na nia ikawa mm

Ninahitaji mtu ambaye Mungu akijalia ataweza kuwa mume wangu..
Kuhusu Mimi;
  • nina umri wa miaka 25
  • naishi Dar
  • ni mjasiriamali
  • sina mtoto/watoto
  • Elimu ni certificate.
Anayehitajika ni mtu ambaye kutokana na kuwasiliana tukaendana mtazamo, na nia ikawa moja .
Hongera Sana, Utapat tu usipokuwa na haraka wala mhemko
Nimependa zaidi mtazamo wako
Inaonekana unachokihitaji unakijua Vizuri....Good luck!
 
Ninahitaji mtu ambaye Mungu akijalia ataweza kuwa mume wangu..
Kuhusu Mimi;
  • nina umri wa miaka 25
  • naishi Dar
  • ni mjasiriamali
  • sina mtoto/watoto
  • Elimu ni certificate.
Anayehitajika ni mtu ambaye kutokana na kuwasiliana tukaendana mtazamo, na nia ikawa moja .
Kabila?,ipo ngongingo? Au Mwajuna malapa marefu?
 
Ninahitaji mtu ambaye Mungu akijalia ataweza kuwa mume wangu..
Kuhusu Mimi;
  • nina umri wa miaka 25
  • naishi Dar
  • ni mjasiriamali
  • sina mtoto/watoto
  • Elimu ni certificate.
Anayehitajika ni mtu ambaye kutokana na kuwasiliana tukaendana mtazamo, na nia ikawa moja .
Njoo DM
 
Sema una tafuta urahisi wa maisha. Hii ndi somo lingine kwa vijana usi shindane na mwanamke
 
Mambo yamekuwa tofauti sana, miaka hii wanawake ndio wanatafuta wanaume wa kuwaoa, zile enzi za kusalandia mwanamke mwaka mzima na ukaishia kuambulia matusi hazipo tena, hivi siku hizi kuna mwanaume akitongozwa anakumbana na matusi?
 
Ninahitaji mtu ambaye Mungu akijalia ataweza kuwa mume wangu..
Kuhusu Mimi;
  • nina umri wa miaka 25
  • naishi Dar
  • ni mjasiriamali
  • sina mtoto/watoto
  • Elimu ni certificate.
Anayehitajika ni mtu ambaye kutokana na kuwasiliana tukaendana mtazamo, na nia ikawa moja .
Unaish dar Sawa unaingiza shingap kwa mwezi??
 
Ninahitaji mtu ambaye Mungu akijalia ataweza kuwa mume wangu..
Kuhusu Mimi;
  • nina umri wa miaka 25
  • naishi Dar
  • ni mjasiriamali
  • sina mtoto/watoto
  • Elimu ni certificate.
Anayehitajika ni mtu ambaye kutokana na kuwasiliana tukaendana mtazamo, na nia ikawa moja .
Nakuombea upate hitaji la moyo wako
 
Me naomba niulize swali, hivi unataka kuniambia kuwa katika jamii ulio ishi, hujabahatika kuona mwanamume wa kukuoa, maana naonaga wanawake ndy huwa wanafwa na wanaume weng? au ni mtazamo wangu finyu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom