Natafuta mume mcha Mungu

Nancet

Member
Feb 3, 2022
47
49
Kama kichwa kinavyojieleza natafuta mme mwenye hofu ya Mungu, awe na sifa zifwatazo:
Asiwe mwenye kutumia bangi, sigara au kilevi chochote.
Awe mwenye urefu kwanzia 5.9ft kuendelea
Awe msomi angalau kuanzia Diploma
Awe maji ya kunde au mweusi
Awe na chanzo halali cha kujipatia fedha
Awe na umri kwanzia 27 mpaka 34
Asiwe na mtoto
Asiwe mnene sana au mwembamba sana
Awe mwadventista msabato.
Kabila lolote lile sawa, kikubwa pia awe mwenye upendo wa dhati na awe mpole.

Sifa zangu:
Nina miaka 24, nipo Dar, elimu yangu ni Bachelor Degree, nimeajiriwa Serikalini kwa sasa, mwonekano wangu nina urefu wa 5.5ft mwili wa kawaida, mweupe kwa rangi.

Note
Kama hukidhi vigezo please usije DM
 
Kama kichwa kinavyojieleza natafuta mme mwenye hofu ya Mungu , awe na sifa zifwatazo:
Asiwe mwenye kutumia bangi, sigara au kilevi chochote.
Awe mwenye urefu kwanzia 5.9ft kuendelea
Awe msomi angalau kwanzia Diploma
Awe maji ya kunde au mweusi
Awe na chanzo halali cha kujipatia fedha
Awe na umri kwanzia 27 mpaka 34
Asiwe na mtoto
Asiwe mnene sana au mwembamba sana
Awe mwadventista msabato.
Kabila lolote lile sawa, kikubwa pia awe mwenye upendo wa dhati na awe mpole.


Sifa zangu:
Nina miaka 24 , nipo Dar, elimu yangu ni Bachelor Degree, nmeajiriwa serikalini kwa sasa, mwonekano wangu nina urefu wa 5.5ft mwili wa kawaida , mweupe kwa rangi.


Note
Kama hukidhi vigezo please usije DM
Jf wasabato ni adimu sana...wahi kanisani mwaya
 
All the best dear.Ila nakushauri tu ,mwombe Mungu akupe ubavu wako ,unaweza kupata huyo uliyeweka sifa zake hapo akawa "kizunguzungu" chako.Nilikuwa kama wewe natafuta rafiki/mume kwa vigezo lukuki baadaye nikajiuliza mimi ninavyo wanavyotaka watu ? au na mimi najichora tu.Mwishoni nikasema Mungu nisaidie nipate mtu /ubavu wangu.Kweli Mungu alinijibu akanipa mwanaume siwei kumwelezea japo kwa wakati huo hakuwa na sifa zote nilizokuwa nazo kichwani nyingine nilizitengeneza /tulizitengeneza pamoja na hata nikiambiwa nimchangue tena na tena nitamchagua yeye tu .Ushauri wangu tu based on my own experience.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom