Natafuta mtu/watu tuliozaliwa tarehe na mwezi kama wa Leo 11th April

puker

JF-Expert Member
Nov 22, 2018
1,009
2,038
Habari za muda huu wadau. Yoyote ambaye amezaliwa tarehe na mwezi kama wa Leo 11 April, wa jinsia yote kama anaishi Dar es salaam na maeneo jirani natamani nipate partner wa ku share nae siku hii muhimu kwanga. Karibu inbox kwa maelekezo zaidi Ahsante 🙏
 
Screenshot_20250411-121040.png
Screenshot_20250411-121046.png
Screenshot_20250411-121052.png
 
Habari za muda huu wadau. Yoyote ambaye amezaliwa tarehe na mwezi kama wa Leo 11 April, wa jinsia yote kama anaishi Dar es salaam na maeneo jirani natamani nipate partner wa ku share nae siku hii muhimu kwanga. Karibu inbox kwa maelekezo zaidi Ahsante 🙏
Happy birthday ndugu yangu,nipo Dodoma!Ndio tarehe hii niliyozaliwa (11_04_1970).
 
Back
Top Bottom