Hello esteemed partner.
I believe hii thread itakupata ukiwa poa.
Napatikana, Mbeya, and kama kichwa kilivyojieleza. Natafuta mwekezaji au mshiriki ambaye tutafanya pamoja biashara hii ya kuandaa na kuuza bidhaa za shamba baada ya kuzichakata.
Kwa kuanzia. Tutaanza na unga wa sembe na Dona pamoja na pumba Kwa ajili ya mifugo nk.
Utaratibu wa uwekezaji ni ukiwa kama mwekezaji au partner utakuwa ukipokea 60% ya faida Kwa muda wa miezi 3, wakati 40% itapokelewa na Mimi. Lakini pia utaendelea kuwa mnufaika wa faida hizo Kwa 40% Kwa muda wa miezi 3 inayofuta. Na kukamilisha miezi 6. Baada ya miezi hiyo 6 mwekezaji anaendelea kuwa mnufaika wa 30% mpaka mwaka utakapoisha.
Kiasi cha uwekezaji kinacho tafutwa ni kuanzia 5mil tsh. Na kuendelea.
Mwenye kuvutiwa na mpango huu. Atume mambo kupitia barua pepe;
Bernsfreightservicellc@gmail.com
Au WhatsApp no: +255756784485.
Ni furaha yetu, Kwa kuwa umeridhika na mapendekezo haya na utakuwa mwekezaji wetu ajaye.
Karibu.