Mr_S
Senior Member
- Apr 2, 2022
- 108
- 88
PS3 yangu imepata hitilafu.
Naskia kuna mafundi wananunua PS3 mbovu ndio maana nimekuja hapa.
Ilikuwa inafanya kazi vizuri toka nilipoizima jana (27/07/22). Ila sasa leo nimeamka niiwashe, inawaka(inaonyesha kitaa cha kijani) bila kuonyesha picha kwa sekunde 30 hivi halafu inajizima yenyewe bila kurudi 'stand-by mode' (haionyeshi tena hata kitaa chekundu). Narudia tena kuiwasha inafanya hivyo hivyo.
Sasa, kwa sasa napitia 'ukata mkali sana' siwezi kuipeleka kwa fundi, nataka niiuze tu hivi hivi ilivyo nipate hela ninunue PS2.
Kama unanunua PS3 zenye hitilafu kama hii au unamfahamu mtu ambaye ananunua, naomba unitumie ujumbe PM au wasiliana nami (WhatsApp/simu) kupitia: 0688 841884.