naomba kujua kama kuna mtu ana link au anajua ninakoweza kupa kitabu kinachoitafsili katiba ya tz maana nahitaji kujifua kisheria ili nipambane na kesi 1 ninamshitaki mwekezaji kwa kuchelewesha fidia na kusababisha kelele na vumbi kila siku kwa milipuko ya baruti!